Lamentations 3:39-40

39 aMwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika
wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake?

40 bTuzichunguze njia zetu na kuzijaribu,
na tumrudie Bwana Mungu.
Copyright information for SwhNEN